Advertisement

Baada ya Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) kupitisha azimio la kusitisha kuipatia Tanzania TZS bilioni 400, Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Thabit Kombo amesema nchi haitakabiliwa tatizo kwani ina bajeti na vyanzo vingine vya mapato. “Tanzania haitokosa chakula kwa sababu ya hili,” amesema waziri.

 


Post a Comment

0 Comments