Mwimbaji Ibraah aliposikia Harmonize amefungua lebo, Konde Music Worldwide akawa kila mara anaenda kugonga hodi katika ofisi hiyo kuomba nafasi ya kusainiwa ila hakufanikiwa kukutana na Harmonize.
Aliyekuwa prodyuza wa Harmonize, Bonga alipokutana na Ibraah alivutiwa na uwezo wake kimuziki, akamshauri akatafute fedha ya kurekodi na mpango wa kuchukuliwa na Konde Music hasiufikirie sana.

0 Comments