Advertisement

NAHITAJI MWANAUME KIKUBWA AWE ANAPUMUA

 

Msanii wa kitambo kutoka nchini Kenya, Sanaipei ameshangaza wengi baada ya kujitokeza hadharani na kusema Kwa Sasa anahitaji mwanaume yeyote kikubwa tu awe ana pumua,


Mtunzi na mwanamuziki huyo kutokea nchini Kenya ameweka wazi kuwa yupo tayari kuanzisha mahusiano na mwanaume yeyote hata kama hana pesa.


Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 40 ameeleza hayo jambo ambalo limewaibua vijana wengi ndani na nje ya Kenya wakionesha nia ya kutaka kuanzisha mahusiano naye.


Vipi hiyo fursa itupite au tufanye namna?


#fblifestyle

Post a Comment

0 Comments